Thursday, July 4, 2013

BADILISHA MUONEKANO WA SEBULE YAKO KWA KUWEKA MITO NA FORONYA .........ZINAPATIKANA HAPA HAPA HOMEZ DECO.....

Mito na foronya, tunaendelea na kuwaletea design mbali mbalimbali na kuweza kupendezesha nyumba yako....Tuna mito mikubwa ya kuweka chini, ijulikanayo kama floor pillows, ni size 75 by 75.

Mito husaidia sana katika kubadilisha muonekano wa sitting room yako, na usio na gharama kubwa........tuna rangi nyingi za foronya kulingana na mahitaji yako,

 Mito ya chini ama floor pillows.......size 75 by 75
 Mito ya makochi size 45 by 45

 Mito ya makochi size 45 by 45
Mito ya wa nyumba ni wa chini, na huo wa mbele ni wa kwenye kochi, lakini waweza pia kuuweka mbele kama nilivyoweka na kukapendeza...........

Karibuni sana Homez Deco kwa mahitaji ya foronya na mito.

NB:

Bei ya size za mito.

Size 45 by 45 = 15,000/-Mito ya makochi
Size 45 by 35 = 10,000/- Mito ya makochi
Size 75 by 75 = 45,000/- Mito ya chini, Floor pillows

Bei za foronya.
Size 45 by 45 = 10,000/-Mito ya makochi
Size 45 by 35 = 5,000/-Mito ya makochi
Size 75 by 75 = 18,000/-Mito ya chini, Floor pillows

Homez Deco itota usafiri kuleta bidhaa za mito katika maeneo hayo hapo chini, kwa idadi ya mito utakayonunua kuanzia 10 na kuendelea......
Posta, Ubungo, Mwenge, Masaki.

Karibuni sana Homez Deco kwa mahitaji ya foronya na mito.
No comments:

Post a Comment