Tuesday, July 2, 2013

Michoro ya ukutani kwenye vyumba vya watoto....kuanzia mwaka 1-5

 Katika vyumba vya watoto wetu, hua tunaviacha tuu kuta zake zikiwa ziko plain,  na baadhi ndio siku hizi wanaweka wallpaper katika kuta hizo, Kuta ninazozizungumzia ni zile ambazo hazina madirisha, ama makabati, ni ule ukuta ambao unawekea kitanda, kama ndio headboard etc.......

 Hii ni michoro na sio stika ama wallpaper, ukipata mchoraji mzuri na anaejua kazi yake....hii michoro kwake sio shida kabisaaaa.....na anaweza kukuchanganyia rangi na zikatoka vizuri.....katika huo ukuta ukiwa na rangi iliyoko hata bila kupaka tena rangi.
hii ni baadhi ya michoro katika vyumba vya watoto.....

NB:
Homez Deco tunao wachoraji ukihitaji karibu wasiliana nasi kwa namba 0713 - 920565

No comments:

Post a Comment