Wednesday, July 10, 2013

SITE YA BUNJU.........

Homez Deco, tulipeleka vitanda site ya bunju.......


 Homez Deco tulitengeneza vitanda na neti zake.....na huu ndio muonekano baada ya kazi kuisha.....

 Vitanda vikiwa vimeshaunganishwa......napenda kuongelea tena kuhusu magodoro, godoro ni lolote lile.....vitanda hivi vya chuma vinakubali magodoro yoyote yale.....
 Nahapa chaga zikiwekwa, na magodoro. pamoja na kufungwa neti......


Karibuni sana Homez Deco kwa mahitaji ya vitanda vya chuma, neti na fanicha zote za chuma...........

1 comment:

  1. Jamani naomba unisaidie kujua ni godoro gani ambalo ni imara linalodumu kwa muda mrefu bila kubonyea hovyo hovyo.Nimechoka kubadili magodoro.

    ReplyDelete