Wednesday, July 10, 2013

SITE YA MBEZI BEACH..... Rangi yoyote utakayo kwa ajili ya kitanda chako ama furnitures zako, utaipata hapa Homez Deco....Kitanda hiki ni cha mtoto wa kike ana miaka 5, na alitaka pink.....

 Kitanda kikiwa kinasetiwa neti

 Na huku kikiwa kinaendelea kusetiwa........Kwa mahitaji ya fanicha za chuma karibuni Homez Deco.....

No comments:

Post a Comment