Tuesday, June 25, 2013

HIVI NI BAADHI YA VIFAA AMBAVYO MRS. JOSSYANNE ANAVYOVITUMIA KWENYE KAZI YAKE NCHINI USA....

Katika LANDSCAPING AND GARDNING ,Kila unachokiona hapo kina kazi  yake hivyo ni baadhi ya vifaa ambayo tunatumia mi na mume wangu , pia vimekuwa  ni msaada mkubwa sana na kuturahisishia kazi zetu , pia kuwamalizia wateja wetu kazi haraka  na kirahisi. 

 Vifaa ni muhimu sana hivyo ni vifaa vyangu ktk kazi zangu, those tools  they are so handy easy to use  we use those tools in many ways like trimming, weed killings we mows the lawans   we spreed   manual ,   we use our tractor to carry mulch    in gardens   you name it.  These    equipments are very important and makes things easy.

  Nawasihii gardners wenzangu jitahidini kununua vifaa ni muhimu sana katika kazi hii kama mnavyoona.





 Hivyo vyote ni vifaa tunavyotumia so tunapokuwambia tutakufanyia kazi yako kwa siku kadhaa   au tunaitaji pesa ya kununulia vitu isiwe subiri mara kuna sababu za  kila aina wakati nyumba yako inathamani kubwa, na hua tunadharau sana garden, na kuona gharama ya garden ila ya nyumba si gharama, mtu unajibana mpaka unajenga. sasa kwanini na kwenye garden usijabane na ukaja kua na garden nzuri inayoendana na nyumba yako uliyojenga? 

Hua tunadharau sana garden, kwa kweli garden ni gharama, na gharama zenyewe ni kuiendeleza........hilo lijulikane wazi kabisaaaa, sasa unahitajika mshauri na mjuzi akuelekeze, ni maua gani yanafaa kwenye nyumba yako, na yanayokubali udongo wako na hali ya hewa....ili usije pata hasara kwa kukauka, ama kunyauka kwa garden yako......

Kwa wenzetu mnapatana kazi   unamuambia charges zako,    mnakubaliana hakuna longo longo nope najuwa nanyinyi  watanzania wenzangu mnaweza kama mengine yanawezekana kwanini nje ya  nyumba  yako maofisini mwenu pasipendeze?
    

 Hata kama unakaa nyumba ya kupanga, kuna maua ya kwenye vyungu, na hua yanauzwa tayari yamepandwa, nunua weka nyumbani kwako,   na siku zote hua ninasema, hapo unapokaa ndio kwako. Sasa mwengine anasema mpaka ajenge nyumba yake ndio awe na vitu vizuri, hapo  hata kiwanja hana, sasa hua najiuliza, kwa nini na gari nzuri usisubiri ukaja kununua wakati ukiwa kwako kwenye nyumba uliyojenga? ama mavazi mazuri, masofa mazuri etc....Maisha ndio haya haya. hapo unapokaa ndio kwako...patengeneze papendeze, kulingana na uwezo wako.....usisubirie mwenye nyumba akufanyie. Fanya mwenyewe vitu ambavyo hata ukihama asilimia kubwa ya vitu utahama navyo.......



Usiwe wa kuangalia gardens kwenye nyumba za wenziyo na kusifia,  ona wivu na wewe na kwako kuvutie na    nakupendeza.


2 comments:

  1. Dear, Naomba kuuliza kama unatengeneza Metal beds ambazo ni double decor kama watengeneza ni shilingi ngapi mummy.

    ReplyDelete
  2. hi, double decker ni 750,000/- karibu.....

    ReplyDelete