Tuesday, June 18, 2013

LEATHER SOFA.. SOLD......

 Sofa sets zinauzwa......ziko seti mbili, nikiwa na maana 3 sitter 2, 2 sitter 2, na 1 single sitter 4... ni pure leather....

 sofa hizi wanakaa watu 14 kwa pamoja..........Rangi ni cream na brown...ziko katika hali nzuri,
 Kama zinavyoonekana, hazijachanika kwa nyuma ama chini. bado ziko bombaaaa....
Kwa kila seti ya sofa, yaani ya kukaa watu 7, ni tshs. 1,700,000/-

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0713 - 920565......

No comments:

Post a Comment