Wednesday, June 26, 2013

MALI MPYA....IMETENGENEZWA NA HOMEZ DECO.....


Tunapenda kuwafahamisha wadau wetu na wateja wetu wote, kua Homez Deco sasa tunatengeneza bidhaa zetu wenyewe, na zina lebo zetu wenyewe.

 Hizi ni glove na pot holder.....ni za jikoni, ukiwa unataka kuepulia sufuria, ama chochote jikoni basi unavaa hii glove moja ama mbili, na utakapoweka mezani, unaweka kwanza hiyo pot holder ili meza isiharibike....

 Products hizi ni kwa seti moja ni tshs. 7,000/- ikiwa ni glove moja na pot holder moja.
 Kwa mbele zinavyoonekana
na kwa nyuma zinavyoonekana.....


NB:
Kwa wale wa mikoani, ukihitaji tutawatumia, ingawa utahitajika kutuma na hela ya usafiri pia,,,wasiliana nasi kwa maelezo zaidi......0713 - 920565

No comments:

Post a Comment