Wednesday, June 26, 2013

MORE PILLOWS & PILLOW CASES.....DECORATIVE PILLOWS....AVAILABLE @ HOMEZ DECO.....

Mito na foronya hii unaweza kuweka kwenye sofa lako na likapendeza bila kutumia gharama na likabadilika na kupendeza....
 hapa nimesha zipanga jinsi ya kuweka kwenye sofa lako na likapendeza......

 Na hapa pia unaweza kutumia decorative pillows zikawa nyuma na mbele zikawa hizi ndogo plain......
 Karibuni sana..........


1 comment:

  1. Hello mamiie Foronya zinavutia sana ,tuandikie bei za foronya maana na mito saizi hiyo ningepanda kubadiri foronya

    ReplyDelete