Tuesday, June 18, 2013

Tatizo la Internet.....Homez Deco tunaomba radhi kwa kua kimya, na hii ni kutokana na internet provider wetu kua na matatizo ya kiufundi.

Ila sasa tumerejea tena hewani.

Nawashukuru kwa uvumilivu wenu..

Sylvia Namoyo,
Director.

No comments:

Post a Comment