Tuesday, June 4, 2013

Metal Furniture........Living room & Dinning....

 Hapa ni living room kukiwa tayari tumeshaweka makochi ya chuma kama inavyoonekana......kwa upande wa rangi ya nyumba, tayari ilishapakwa na wenyewe. sasa homez deco ilihusika na makochi, coffee table na dinning table......nyumba hii imepakwa rangi ya papaya na purple.....
 Hii ndio dinning table ya watu 6
 Niliwashauri waweke picha za ukutani...na wakakubali....hivyo wakiwa tayari nitawashauri jinsi ya kuweka.....kwenye swala la picha bado tuko nyuma....tunatundika picha juu sana ama chini sana....na hazilingai...picha zinatakiwa ziwe eye level...yaani usiinue macho kutazama picha..... Hapa ndio tulikua tukiingiza furniture ndani......
 Furniture za chuma hupendeza kwa kweli...na hufanya nyumba kua safi wakati wote...maana unaona mpaka chini ya uvungu kama ni kuchafu ama kusafi.....
 Nikiwa nimekaa kwenye kazi yangu......

Nawashukuru wateja wangu kwa kuridhika na kazi yangu......nawatakia kila la kheri......

11 comments:

 1. Hiyo Coffee table peke yake shilingi ngapi? Naomba unijibu tafadhali.

  ReplyDelete
 2. habari ndugu mdau...coffe table ni tshs. 250,000/- hiyo ni meza na stools mbili

  ReplyDelete
 3. Hiyo Dinning table nayo ni shilingi ngapi Dear

  ReplyDelete
 4. hi, dinning table ni tshs. 950,000 ni ya viti 6. karibu

  ReplyDelete
 5. Hi, hiyo coffe table pamoja na makochi ni sh. ngapi

  ReplyDelete
 6. Habari yako,je hiyo seti ya Kochi bei gani?najipanga kuhamia kwangu so nataka kujua nei my dear

  ReplyDelete
 7. mambo za kazi,, nauliza kuweka tagazo kwenye blog yako ni kiasi gani?

  ReplyDelete
 8. ooouh nimevutiwa hasa na makochi ya chuma, tafadhali na ningependa nibadili , na nipate hiyo dinning table pia . Je gharama ni kiasi gani. ukweli nimekuwa nikitamani kitu tofauti nimefurahi sana asante kwa post

  ReplyDelete
 9. je dining table ya viti vinne itakuwa kiasi gani naomba na bei ya sofa set pia

  ReplyDelete
 10. Hiyo mito kwenye hzo sofa ndio.saiz gan? Hiyo ya kuegemea... i luv metal sofas na pia naomba kujua bei ya four seaters dining table

  ReplyDelete
 11. kazi zako ni nzuri na inatia moyo kwa kweli...nimekuwa China kwa kipindi....na nimeona wanabidhaa nzuri na nyingine kama zako zikiwa na ubora mkubwa nikadhani nyumbani hakuna....ongeza bidii sana. Pia jaribu kuinnovate na kuongeza wigo wa wateja wa vipato vya kati na vikubwa....ili kila mtu aweze kununua bidhaa zako ikiwezekana weka class/grade tofauti tofauti...tatizo na utofauti na China wao wana bidhaa ambazo ziko kwenye cartegory tofauti mfano..kochi 1 the same; ila linauzwa bei tofauti kwakuwa moja linakuwa na added value katika ubora na jingine may be linakuwa na ubora wa kati....soko unalo kwa kuwa watu wengi wanatamani kununua bidhaa zako mf. vijana wanaoanza maisha na wengine pia. Nadhani unaweza fika mbali ukiongeza ubunifu wa kibiashara na masoko

  ReplyDelete