Thursday, June 27, 2013

SMOOTH OVER SKIMMING PLASTER......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO....... Hizi ndio smoothover skimming plaster, katika ujazo wa lita 20, ama 35 kg....wateja wetu wameanza kuzitumia nani skimming plaster inatumika nje na ndani.....Tayari imeshachanganywa, 5 in 1 formulation.
1. Ni rahisi kutumia
2. Ni imara
3. Haihitaji prima
4. Rahisi kuipiga msasa
5. Inahimili hali yoyote ya hewa

Inasaidia rangi kua na finnishing nzuri. Hayo ndio maelezo ya utumiaji wake....na haina vumbi jingi wakati wa kupiga msasa, maana wamezingatia hali ya mazingira, na afya kwa ujumla.......

Karibuni kwa mahitaji yako ya skimming plaster smoothover...wasiliana nasi kwa namba ya simu 0713 - 920565 ama email: sylvianamoyo@yahoo.com

4 comments:

 1. ndoo moja unauzwa shilingi ngapi?

  ReplyDelete
 2. Pole na kazi, naomba tu unieleweshe kwa urefu kidogo.. hii ndio plaster yenyewe huitaji kitu chochote kuongezea? nina nyumba iliyokwisha pigwa bati.. hivyo bado unaona matofali, next ni plaster, kwahiyo nikinunua hii sihitaji mahitaji mengine? kwa chumba cha wastani unahitaji lita ngapi?

  ReplyDelete
 3. mdau wa mbili asante kwa swali lako hta mie nina nyumba nakaribia kupiga bati,ila iyo plasta inapigwa ivyo au mpka ukuta urekebishwe vzr?tunaomba majibu tafadhali.

  ReplyDelete
 4. Asanteni wadau wangu kwa maswali yenu...ninajibu maswali yenu yote 3 kama ifuatavyo.
  Hii ndio plasta yenyewe.. na ukiinunua yenyewe iko tayari kwa matumizi haihitaji kuchanganywa na kitu chochote......na plasta inapigwa baada ya kupiga ripu nyumba yako.....kwa hiyo kama bado unaona matofali stage inayofuatia ni ripu, halafu ndio uje kwenye plasta ambapo ndipo utahitajika kutumia hii smoothover skimming plaster....na inatumika ndani na nje ya nyumba yako....na haina vumbi kama tulilozoea wakati wa kupiga msasa....


  Kwa kilo 35 ama lita 20 kwa ndoo moja ni 106,000/-. yenyewe ni 5 in 1...

  1. rahisi kutumia
  2. Ni imara
  3. Haihitaji prima
  4. Rahisi kuipiga msasa
  5. Inahimili hali yoyote ya hewa

  ReplyDelete