Wednesday, June 26, 2013

UJIO WA MRS. JOSSYANNE TANZANIA......KUANZIA KATIKATI YA MWEZI WA SABA 2013.....

Homez Deco inapenda kuwafahamisha wadau wote kua Mrs. Jossayanne atakuja Tanzania akitokea Marekani anakoishi na kufanyia kazi zake za Landscaping na Gardening.

Atakuja huku kwa muda wa mwezi mmoja, na akiwa hapa atafanya kazi kwa wale watakaomuhitaji, kama ni ushauri, kufanyiwa kazi etc....

Tunaomba kutangaza rasmi kua tafanya kazi kwa appointment tuu.....Tunaomba kama utamuhitaji wasiliana nasi kwa namba za simu ama email hizi hapo chini, ili uweke appointment.

Kutakua na site visit ambayo ni shs. 50,000/-  hii ni usafiri, na muda wake......utahitajika kulipia ili tuweze kua na uhakika na appointment yako  ndugu mteja wetu.

Hela haitarudishwa, endapo utachelewa, ama  ku cancel kwa muda mchache.

Kwa atakaye cancel tutakata hela ya usumbufu shs. 25,000/-

Tumeweka mashart maana tuko serious na muda, na yeye yuko kwa muda mchache, sasa hatutaki kupoteza muda......naomba tujitahidi sana kwenda na muda ambao tutakua tumepangiana.....maana kuna muda mwingine unaweza kukubaliana na mtu, then ukifika muda unampigia, anakua hapokei, ama kazima simu kwa muda mrefu kiasi, huyo kwa kweli tutajumuisha kua ame cancel ..........

Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0713 - 920565 ama email sylvianamoyo@yahoo.com

Karibuni sana.......

No comments:

Post a Comment