Monday, June 24, 2013

Foronya na mito ya mapambo ya kwenye sofa zinapatikana hapa Homez Deco.........

 Product zetu za homez deco......mito yetu tunatengeneza wenyewe, na tunashona foronya sisi wenyewe.......na pia tunapenda kuwashukuru kwa kutuunga mkono mpaka hapa tulipo sasa, kwani sasa hivi tuna lebo zetu wenyewe......Products zetu sasa zile za kushona zitakua na lebo yetu wenyewe.....kwa kweli ni hatua tumepiga, tukisaidiwa nanyi wadau....Tunawashukuru mno na tunawaomba muendelee kutuunga mkono, kwani Homez Deco tunataka tuendelee kuwaletea vitu vizuri zaidi na zaidi na siku hadi siku.......
 Size ya mito ni 45 by 45


 Kila rangi utakayo zinapatikana kwa size tofauti......
 Size hii ya mbele ni 45 by 35....
 Foronya
 Hii ndio mito ya homez deco........tunatengeneza wenyewe, na ina lebo zetu........
Karibuni sana kwa mahitaji ya mito na foronya wasiliana nasi......

1 comment:

  1. nahitaji mito pls mnapatikana wapi?

    ReplyDelete