Tuesday, June 18, 2013

Site ya Tabata Hii ni site ingine tulipeleka kitanda na stool  yake.....Ninachoweza kusema....vitanda hivi vinakubali godoro lolote lile......ni wewe utandikaji wako wa kitanda...
 Vitanda vyetu tunaweka chaga za mbao..na hii husaidia vitanda visipige kelele, ama kuchubuka....na tunavifunga kwa kutumia blot, na zinakua ni bolt 8....hivyo ni imara......

 Fundi akiweka chaga na kukifunga vizuri......


Kwa mahitaji yako ya fanicha za chuma karibu homez deco.......clik kwenye blog yetu juu kabisa icon ya metal furnitures na utaona designs zote tulizonazo.......

Karibuni

1 comment:

  1. NITAWATAFUTA NIKIJA DAR,NATAKA NIBADILI NYUMBA YETU NDANI IONEKANE MPYA KWAKWEL MANA UNA MAMBO MAZURI SANA UMU BLOGUNI

    ReplyDelete