Wednesday, June 19, 2013

Secondary Colors...Katika kundi hili la secondary colors,  ukichanganya rangi zozote za primary colors mbili ndio unapata secondary colors , Kundi hili lina rangi 3 ambazo ni Violet or purple, Green and   Orange:
Rangi hizi ni kama ifuatavyo:
Utakapo changanya rangi ya njano na nyekundu utapata orange (katika kundi la primary utapata) 
Yellow Red ORANGE
Red Blue VIOLET or PURPLE
Ukichanganya nyekundu na bluu utapata papo
Blue Yellow GREEN
Ukichanganya bluee na njano utapata kijani

Tutaendelea:


No comments:

Post a Comment