Friday, March 12, 2010

She is own her way here in Tz this end of the month

yMuda umewadia, Mrs. Jossyanne anakuja, kwa wale wote watakaomuhitaji kwa ajili ya gardening, landscaping pls do the booking to Homez deco Kreative Homez, by email: sylvianamoyo@yahoo.com, or by telephone 0713 - 920565. Na kwasababu atakuwa na muda mfupi wa kukaa hapa, tutaatend waliofanya booking tuuu. Karibuni sana

1 comment:

  1. hiyo booking tunafanyaje mdogo wangu? should we pay?na je yeye anadesign garden tu au design pia mapazia?77bu nataka aje aione nyumba yangu kwanza then aniambie ni design gani nzuri itanifaa.Otherwise, uko juu nakufagilia.

    keep it up.

    ReplyDelete