Wednesday, March 17, 2010

Simple way of mixing colorsHii kama inavyoonekana kwenye hizi picha, uchanganyaji wa rangi ni mzuri na umetulia, sasa basi waweza kutumia sofa, ama mapazia yako yakawa ndio muongozo wako. Na kwa urahisi kwa upande wa mito waweza kutumia kitambaa cha mapazia ukashonea foronya za mito.

Na unaweza ukachagua sofa likawa plain, na mapazia ndio yakawa na urembo, ama ikawa kinyume chake.

No comments:

Post a Comment