Wednesday, March 10, 2010

Mapazia hayo mshindwe wenyewe, na mimi siamini eti nasubiria ujenge nyumba yako ndio uipendezeshe na uspojaliwa kujenga je? Imepitwa na wakati
4 comments:

 1. hi,
  dada mi nimeipenda iyo style ya purple, ningependa kufaham je dukani kwako unazo?kama ndio basi ni kwa kiasi gani?
  pia ili ni post comments zangu ktk blog yako inabidi niitumeje?maana natuma saana nasiioni ikiwa posted!
  ni mimi
  hajwayer2000@yahoo.com

  ReplyDelete
 2. hi haj,

  haj ukipost comment angalia article ile ile hua ninapost comment zote.

  kuhusu mapazia inategemea na ukubwa wa dirisha lako na inaingia mita ngapi za mapazia kulingana na design ndio tukupigie hesabu zake, na material sio lazima iwe hiyo, hapo tunachukua mishono pekeee.

  ReplyDelete
 3. hata mimi nimeyapenda hayo y papi, mko maeneo gani nataka nije

  ReplyDelete
 4. jamani duka lenu liko sehemu gani kwani mapazia hayo ni mazuri mno

  ReplyDelete