Friday, March 26, 2010

Mnajua kama majani yadondokayo kwenye miti, magamba ya madafu ni mbolea kwenye mimea?

Ni mti mzuri sana, kama unavyoonekana unahitaji matunzo, ni hii ni kati ya mti moja, sasa basi hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta mbolea, majani yake yanapodondoka yakusanye chini ya mti huo kwani ni mbolea nzuri na haina gharama yoyote ile.

Mti ukiwa mkubwa unahitaji matunzo, na kwa kufanya hivyo huwa inastawi vizuri na kupendeza.

Baadhi ya mbolea ni maganda ya madafu sasa sijui kiswahili kizuri nikipi, majani ya miti yaliyodondoka, mbolea za wanyama etc.

No comments:

Post a Comment