Tuesday, March 9, 2010

I am Back

Napenda kuwa shukuru wote, kwa wema wenu, maombi yenu, kwani tulizika salama, na nilirudi jana badala ya jumapili, tuliharibikiwa na basi njiani, Ila hakukuwa na tatizo lolote, kwani abiria wote tuko salama.


Asanteni

No comments:

Post a Comment