Monday, March 22, 2010

Door Curtains


Sio kwamba kuweka pazia mlangoni ni old fashion, tatizo ni jinsi unavyoiweka, na design, nimeona wengi wetu tukiwa na mapazia milangoni. Ninachotaka kuwashauri ni kuwa angalia rangi za hilo pazia atleast ziendane na rangi za living room ama dinning room ama corridor.

Na pazia linalotakiwa kuwapo kwenye milango ni mapazia Mepesi, na hata kama ni mazito basi yasiwe ni mazito sanaaaa.

Na hakikisha ufungaji ama uning'ing'inizaji wake uwe ni kwa juu kama inavyoonekana hapa, na lisiwe linakera watu.

No comments:

Post a Comment