Friday, October 30, 2009
Wednesday, October 28, 2009
Ubunifu wa gardening huooo
jamani tuige nasi hii mifano ya garden za wenzetu, kwa watoto ni sehemu nzuri sana jamani, yaani ukiangalia kwa karibu karibu cartoon zote wametengenezea na kuweka kwenye garden. Inapendeza kwa kweli. INAWEZEKANA KWA HAPA KWETU
Tuesday, October 27, 2009
Food stands
Chakula kina umuhimu wake kwenye miili yetu, sasa basi sio kupika tu vizuri, bali hata kukiandaa vizuri kwa kula, eidha mezani, etc. Tuna jua kuna hotpots, lakini inabidi ubunifu pia, nimezifuma hizi stand za chakula, kwakweli ukiziweka mezani hata kama huna appetite itakuja wandugu. Hii bei yake ni Tshs. 35,000/= ya kwanza na ya pili(hizi stand ni bila sahani, na sahani zapatikana dukani kwangu na kama unazo zako inafaa pia leta sample tutakutengenezea)
Hii ni 45,000/= ya juu yake ni 65,000/= inayofuata ni shs 30,000/=
Hii ni 45,000/= ya juu yake ni 65,000/= inayofuata ni shs 30,000/=
Monday, October 26, 2009
3 days missing
Hellow my funs, nilikuwa sipo for 3 days online, nilishikwa na ka malaria ila iam good sasa.
Sylvia - Director & Co - Founder of Homez Deco
Tuesday, October 20, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)