Sunday, April 1, 2012

Tunaendeleaje???

Katika topic zilizopita, tumezungumzia mengi kuhusu, taa, upangaji etc..... je, mmeyafanyia kazi? umeona kuna mafanikio.......imekusaidia....

Yote haya ni katika kujifunza na kujua ni nini tufanye na kifanyike.......

Kama kuna maswali, maoni bado tunapokea na tusisite kujulishana muda wowote.......ili kusaidiana katika hili.

From,
Sylvia.
Director

No comments:

Post a Comment