Friday, April 27, 2012

SOLD


Mnaikumbuka hii set, ina 3 sitter 1, 2 sitter 1 na single sitter 1....
Shelf pekee ndio inauzwa...waweza weka vitabu, urembo etc...
Meza ya viti 6


Sofa wanakaa watu 6. 3 sitter, 2 sitter, na 1 sitter.

viko katika hali nzuri... na vina umri mdogo sana... tuwasiliane kwa atakae hitaji.... 0713 - 920565...Karibuni

NB:
Nimeanzisha kipengele hiki, kwa atakae hitaji kuuza furniture zake, tuwasiliane na nitaviweka kwenye blog kwa mauzo.....ila viwe na hali nzuri, na nitakuja kuvikagua kwanza kabla sijaviweka humu...kwa watu wa mikoani naomba mvipige picha kila kona ili niweze kukagua......

2 comments:

  1. Furniture nzuri, ila ni for sale or sell

    ReplyDelete
  2. uweke na bei kabisa itakuwa safi.

    ReplyDelete