Friday, April 20, 2012

TANGAZO....

Napenda kuchukua nafasi kuwaarifu wadau wote kua, kuanzia Leo tarehe 20/4/2012, Homez Deco-Kreative Homez Haiko tena na Phides Chezi (partner in our business).


Hatuto husika na chochote kama Homez Deco......


Homez Deco -Kreative Homez itaendelea kua na mmiliki 1 halali ambaye ni Sylvia Namoyo......

Mrs. Jossyanne yeye, ni mshauri wetu kwa upande wa Landscaping, gardening, na mazingira kwa ujumla....tuko nae tokea blog inaanza...tunakushukuru Jossyanne kwa kua nasi katika kuelimisha jamii..


Asanteni,

Rgds,

Sylvia Namoyo,

Director

Homez Deco-Kreative Homez


Asanteni
2 comments:

  1. Kunani mamii? Si umetu-intro juzi tu leo hayuko? Kila la kheri Syl, you can do it on your own.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kutufahamisha, tutamiss ushauri wake sababu aliweza kuchangamsha blog na maada mpya, zamatumizi ya taa.je tutampataje kiushauri zaidi.
    ASANTE

    ReplyDelete