Tuesday, April 17, 2012

Appointments......

Leo nimeonelea nilizungumzie hili.....maana limekua ni tatizo kubwaaaa (time is money)

Kumekua na tabia ya kua watu hatujali muda, unapiga simu unataka huduma zetu na tunakupa appointment ya lini tuonane, na tufanye kazi.

Sasa ikifika muda mtu hapigi simu ku cancel appointment, ni mpaka umpigie simu na hapo muda umeshafika na kupita..

Naomba kuchukua fursa hii kwa kusema kua, Homez Deco-Kreative Homez, tumeweka utaratibu huu ufuatao:


Unapopiga simu, ama kutuma email kwetu na kuomba appointment, tutakupa, siku ambayo tumekubaliana, ila ikifika siku hiyo muda ukifika, tunakupa muda wa atleast masaa 2 mbeleee... baada ya hapo tuna cancel appointment yako.....(kwa ku sisitiza, tuki cancel ni tutakupa siku ingine).

Umepata tatizo tujulishe siku 1 kabla.....na hapo tutashauriana ni lini tutaonana...


Asanteni......

No comments:

Post a Comment