Tuesday, April 24, 2012

Before & After House make over...(Tabata site)

Kazi imekwisha........Karibuni sana kwa mahitaji ya pazia, kubadilisha covers makochi, viti vya dinning, interior decorations, furniture arrangment, ushauri, kupaka rangi kuta, fanicha za chuma, Landscaping & gardening, interior design etc.......
Ukifanya kazi yako kwa umakini, na upendo, kila kitu kitakwenda sawa.......Naipenda kazi yangu.......


Wallpaper, huu ukuta uliokaa tv, tunaita ni focal point, ya sitting room yetu, nitaja elezea nini maana ya focal point siku ingine...tuliweka wallpaper rangi ya offwhite, na ni wash able, ikichafuka unaifuta na maji kidogo...Hapa tukivalisha cusion covers tulizozishona Homez Deco....

Hizi ni pazia za vyumbani, kama tunavyoonekana mzigoni, hakuna cha boss wala mfanyakazi, we work as a team work......
Maua haya niliyapenda sana.... ninamtafuta huyu anaefanya shughuli hii then nitawapa contacts zake kwa watakao muhitaji..... ni maua ya artficial...(yanafanana na ya kariakoo haya...)
Kiti cha kulia ndio kilichobadilishwa na fixer wetu....


Fixer akibadilisha cover za viti vya dinning.....Tukianza kazi ya ku fix pazia za sitting room......


Sitting room & dinning before make over.....

NB:
Naomba radhi, kwani kuna baadhi ya picha zimetoka giza... ninafanya utaratibu wa kupata profession camera muda si mrefu.... tuombe mungu....

7 comments:

 1. Kazi imetulia Sylvia! GOOD JOB, nitakutafuta nikiwa sawa soon, INSHAALLAH!

  ReplyDelete
 2. Asante Nanah, karibu ukiwa tayari...siku njema

  ReplyDelete
 3. kazi nzuri sana dada yangu kanma ni moyo unao sasa wa mikoani watusaidiaje sasa pia nimependa ramani ya iyo nyumba umeweka pazia kweli.

  ReplyDelete
 4. Silvia umefanya vizuri mno na hiyo nyumba ni nzuri na inampangilio mzuri. hongera sana.

  ReplyDelete
 5. Kazi nzuri ndugu yangu,mama yangu anastaafu hivi karibuni na anarudi Dar nitakutafuta. Ningependa uidecorate nyumba yake. Mungu azidi kukubariki!

  ReplyDelete
 6. ongera dada duh ww noma mna kma ulaya.

  ReplyDelete
 7. i hav fell in love with this house hw do i get u when am ready am in kenya

  ReplyDelete