Tuesday, April 17, 2012

Kua na Tawi Mwanza......(Mikoani)

Habari ndugu wadau,

Nimepata comment nzuri kutoka kwa mdau wangu wa Mwanza, akiniuliza kama kuna tawi Mwanza..

Kwa sasa upande wa mikoani bado hatujawa na matawi, ila ukihitaji huduma zetu hua tunasafiri mpaka huko kwenye mkoa ulioko......kuhusu cost tunaelewana kulingana na umbali, na service unayoihitaji.

Ingawa tunajitahidi kadri tunavyoweza ili kua na matawi mikoani, tuko mbioni na tunalifanyia kazi hilo......


Tuwasiliane kwa ushauri zaidi,


No comments:

Post a Comment