Monday, April 23, 2012

Before & After Site ilikua Sinza......Curtains by Homez Deco....My handsome Jaydan, tunaanza kutembea sasa, usijiulize anafanya nini site.... hahhaha.... tunaanza kurithisha mapema.... hahhahahahh

Fixer baada ya kazi......
Mie naangalia kazi....hapo jayd yuko mbali.....
Curtain holder...
fixer akiwa kazini....

Wakianza ku fix


wakitayarisha pazia
kwa wale wenye curtain box, ni maranyingi hua tunaangalia hali ya reli. kama hazifai twabadilisha. hapa wakibadilisha....


before sitting room curtains make over.....

5 comments:

 1. Hello, curtain box zimeharibia! naona kama imeshakuwa fashion ya zamani. pazia nzuri!

  ReplyDelete
 2. hi, unajua nyumba za kupanga zina sheria zake, mwenye nyumba huyu hakutaka nyumba yake ibadilishwe chochote, hataki nyumba yake itobolewe ukutani,na nyumba za design hizi ziko nyingi sana..... sasa kinachofanyika unafanya unachoweza, na nyumba bado inakua simple huku ukiangalia ustaarabu wa kua na kwako....

  ReplyDelete
 3. Nimependa pazia nzuri sana, zimebadilisha muonekano wa sebule. kazi nzuri.

  ReplyDelete
 4. Kazi zako ni nzuri sana mpaka zimezidi kunitamanisha.Naomba tu kupata rafu ya garama zako za kushona mapazia na kuyaweka kwa nyumba yenye madirisha 12 hivi.

  ReplyDelete