Sunday, April 1, 2012

Mrs. Jossyanne is in Town....

Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kua Jossyanne yuko nchini, na yuko tayari kushirikiana nasi kwa kipindi atakachokuwepo.

Hivyo basi kwa maswali, maoni etc... mnakaribishwa kuuliza... na mtapata majibu. issue zote za landscaping & gardening....

Na napenda kuchukua fursa hii kwa kuomba radhi kwa kuwa kimya kutokana tatizo lililotupata.

Asante kwa kutuvumilia,.....

Sylvia
Director.......

1 comment:

  1. habari, nina kiwanja karibu na ziwa nataka nitengeneza bustani nzuri sana iwe na mchanganyiko wa flowers and plants alafu nataka ni-position viti vya watu kukaa kupunga upepo any idea nashukuru

    ReplyDelete