Sunday, April 1, 2012

Kinachofuata.........

Je unajua kua tiles tunazoziweka majumbani kwetu, zina mahali pa kuweka kulingana na matumizi ya chumba hicho?

nini kifanyike kabla ya kununua tiles?

na unachaguaje tiles ukifika dukani...... ama ndio tiles za kuteleza unaweka bafuni, na jikoni!!!


Endelea kua nasi.........

4 comments:

 1. Harusi lini bidada?Jan 18, 2010 ulisema haupo single tena, au ndio huyo bwana ukampata akaishia kukupa mimba na kukuacha. Pole mwaya.

  ReplyDelete
 2. JAMANI KILA SIKU NAINGIA HUMU TOKEA TAREHE 1 APRILI NASUBIRIA HICHO KIFUATACHO HAMNA KITU, BLOG YAKO IMEANZA KUBOA NA NADHANI U R LOOSING ME AS A FAN OF THIS BLOG CAUSE SITAINGIA TENA.

  ReplyDelete
 3. hi mdau wa kwanza...ahhahha asante kwa message..... no comment on that......hhahahah hhahaha

  ReplyDelete
 4. Nanah, mambo, jamani sitaki kukupoteza, ila pia nami ni binadamu, kuna jambo la dharura.....pia kumbuka siwezi kumwachia mtu password aanze kupost kwenye blog..jua hilo.....nakushukuru sana sana sana, na endelea kua mdau wangu....

  ReplyDelete