Wednesday, November 30, 2011

Hii tabia nilikua naisikia tuu..... Hili ni eneo la Tazara. mida ya saa 11:15am 30/11/2011




Duh, hatati tupu, hii tabia nilikua naisikia tuuu, yaani sasa leo ni live bila chenga, kama unawavyowaona hapo, kwanza gari la mafuta ya petrol, lilipokua linapunguza mwendo kwa ajili ya foleni nikaona vijana wanakimbilia, sasa mie nikajua labda kuna mtu kagongwa, si nikaanza kutoa macho, heee kumbe wanafuata gali la mafuta, jamani niliogopa, maana wanavyofungua kama kwamba walifunga wao, hawa vijana wako na mifuko ya rambo hapo unawavyowaona, sasa kule dereva na msaidizi wake nikawa najiuliza kwa nini hawashuki? heeehhee kumbe mafuta yamekwisha, sasa wao ndio wanachukua ya mwisho mwisho.

Jamani inasikitisha, na inahuzunisha. ni tabia mbovu na chafu sasa gari ikilipuka hapo, ni watu wangapi watakufaaaa..........

Na je wanaenda kuuza wapi hayo mafuta machafu... na hao wanaonunua wana akili kwelii...........

Naomba mamlaka husika mlifanyie kazi hili suala...........

NB: ila mgeniona ninavyopiga hizo picha, maana ninasikia hua wanafujo, na wanaweza hata kuvunja vioo vya gari na kadhalika.......

Ukiwa na tukio lolote lite usisite kunitumia, nami nitalipost, maana kwa kufanya hivi najua wahusika watapata tuu habari na itasaidia sana kuyachukulia hatua....

Tuesday, November 29, 2011

Easy Decoration tips



In order to decorate your home (any room) just make sure that don't choose colors more than three. These will help you to decorate your room without any pressure, and it's simple. Just take a closer look to these photos here.

Weka mazingira safi

Haya maua yako hapa tanzania kwetu jamani. ila sikui kwa nini hayatumiki, tumezoea tu kuwe maua ya borders tuuuuuuuuu etc. tubadilike enyi mnaopewa tenda za kutengeneza city garden, maua ni mengi sanaaaaaaa, yanayostahimili jua, hebu emagine kila round about ingekua ina theme yake ingekuaje? ............



I, awalys ask my self why can,t we ? love our natural environmental, and protect it god  gaves us free, wild life,
marine life, forest and so many . things . tuyapende mazingira yetu tuyatunze acheni kukata miti hovyo kuchoma moto,
  misitu, kuharibu vyanzo vya maji, uvuvi haramu, wa kutumia, dynamites mnaangamiza mazalio ya samaki, na viumbe wengine wa majini, wanajamii kila mmoja wetu ana jukumu la kulinda mazingira yanayomzunguka iwe ni mto kijito,
  kichaka, daraja nk kutupa taka hovyo,wasafiri wenzangu unaposafiri usitupe mifuko ya karatsi chupa za maji taka  ngumu barabani, nitabia mbaya sana wanyama wanakula huo uchafu wa mifuko machupa matokeo yake wanayama wanakufa, acheni acheni, ukisafiri kusanya mabaki ya vyakula chupa za maji tupa kwenye pipa la taka mwisho wa safari yako, na siyo ndani ya basi, kama wengine mnavyofanya jali ,maisha ya viumbe wengine, hata Tanzania inawekana miji yetu ikawa misafi, majumbani sehemu za kazi, kwenye migahawa, , kwenye masoko ya vyakula, hizi sehemu zote lazima ziwe safi, zisipokuwa safi ni chanzo kikubwa sana cha milipuko ya magonjwa, kila leo kipindupindu kinauwa kwa sababu ya uchafu, unatupwa hovyo,muingiliano wa sewage system ,na mabomba ya maji, ya kunywa. baadhi ya wanajamii hamcheshi maji mnakula vyakula vya baridi, ambavyo zimezungukwa na mainzi, kila mara ndio maana,
  ugonjwa wa kipindupindu akiishi, ila usafi ukizingatiwa milipuko ya magonjwa itaisha K una tabia zingine ambazo zinanikera binasfi, unapokohowa ziba mdomo wako tumia kitambaa kisafi uteme makohozi hovyo fukia na mchnga lingine wanajamii, acheni kuweka vidole puani, tumia lesso, siyo vidole unatoka hapo unamsalimia m mtu kwa vidole vichafu au unauza matunda au vyakula bila kunawa mikono, ni uchafu , uchafu, unaonikera sana hiyo yote ni sehemu ya mazingira, tunavoishi, na yakila siku wafundsheni watoto wenu, wanafunzi hata wanajamii nzima umuhimu wa usafi
ktk jamii, miji, mashuleni vyuoni nk naamini tunaweza kwenye nia siku zote kuna njia asanteni
sana mdau wa mazingira ktk idara mbalimbali.

Massage toka kwa Jossyanne.

Monday, November 28, 2011

City gardens - with Jossyanne in USA

hapa ndio moja ya citty garden, imesheheni mauaaaa

Emagine hapa ndio mmazi mmoja pale



Yaani acha tuu, mi nitapiga za kwetu hapa dar. ila naomba kwa wale walioko mikoani, pls pls, naomba nitumieni picha za city garden za mikoa yenu, nimeambiwa mwanza inaongoza kwa usafi, then moshi. so tunaomba mtutumie picha tujionee wenyewe. Nawashukuru........(mama Brian wa mwanza nakutegemea kwa picha mwanza)

RESIGNATION LETTER

Dear Boss

I'm resigning effective immediate!

The reason for my resignation is that I cleaned my garage this morning before coming to work and realized I don't feel like working anymore.

See for yourself.....


ahhahhhaa, nilitumiwa hii email, nilicheka sana sana,

Graduation Ceremony at Karimjee hall on 25/11/2011 IFM University (Namoyo's)


Mnamkumbuka bibi harusi! haya hii ilikua ni siku ya graduation, hapa ni mdogo wetu Stanley, pamoja na yeye mrs. Zainab (linda)

With friends

Hongera dada....


broooooo


Hongereni Namoyo's

Mtu na mjomba ake

Bro na rafikizeee


sis na rafikieee

Hapa ilibidi tuuu bro ashike na ua la dada, maana dada alitupote
 a kwa muda....
Huyu ni mtoto wangu wa kwanza jamaniiiii, ngoja siki ntapiga nao picha woteee wako 4 halafu ndio Jaydan 5. hahahahaa.(hapo nimevaa kiatu kirefu ndio ninamfikia jamaniiii haahhha)

mapumzikoni kabla ya kwenda family dinner.....

Brothers... love u

huyu yeye alikua kazini that time, ila tukawa nae pamoja wakati wa dinner.. Johnson ...

Viatuz

Thursday, November 24, 2011

Roses Arrangment

Arrangment iko tayari

Nilichagua roses, red & orange

Akiyaandaa, na hua yanapunguzwa majani pia

kukata na mkasi ni lazima

Anayapanga kwenye verse

Na hapa nilepewa zawadi ya maua aina ya caarnations......nawashukuru sana.

Maua niliyoyaongelea yanayopatikana Hapa nyumba, yana kaa kwa siku zifuatazo kama ninavyozitaja;

  • Tiger lilies yanakaa kwa siku 4 -5 
  • Roses siku 3-4
  • Carnations siku 6-7
  • Heliconia, Ginger, tube rose siku 5-6
  • Anturium siku 7-10
Kazi kwako sasa ndugu mdau.... chagua aina uipendayo, na bei ni nafuu mmno roses, zinakua pcs 20 kwa tshs. 2,500 - 3,000.

Home flower arrangment - Tiger Lilies

Roses

Carnations

Janna nilifanya tour namanga mbuyuni na nilifanya mahojiano na wapambaji na waandaji wa maua, katika duka mojawapo, nilitaka kujua kama inawezekana kununua maua fresh na kuweka majumbani kwetu, badala ya haya ya plastics tuliyoyazoea.
Nilijibiwa kua inawezekana kabisaaa, sasa nilichagua maua hayo niliyoyashika yanaitwa tiger lilies. nilichagua rangi 2, nyeupe na zambarau.

Tukaandaa verse yetu, na kuweka maji kama inavyoonekana

Akachukua maua, na kuyafungua

Sasa hapa ni kwamba, ni lazima kukata shina la ua kwa kiupande, kila ua, hii husaidia kufyonza maji. na unatumia mkasi

Akaanza kuweka ua moja moja

na mengineyooo, na unapoweka uweke kwa mtindo wa kupishana, yaani design ya X. haihitaji uwe mtalaam

Na ua letu liko tayari, unaweza kuwe, kwenye dinning table, kwenye kona, etc. na sio lazima ukatumia verse ndefu, inategemea na sehemu unayotaka kuweka........ ua hili linakaa siku 4-5 ndio unalibadilisha(linakufa)

NB: watu wanasema hayo maji ni lazima uweke chumvi, magadi, etc ili likae sana, hapana usiweke chochote.

Aina ya maua yapatikanayo kwa urahisi Tanzania..


Roses

Tiger lily

Anthurium

Ginger flower

Calla lily white

Carnations

Heliconia

Tuberose