Tuesday, November 24, 2009

Wall paper

Wall paper hizi ni karatasi zinazobandikwa ukutani huwa ziko za aina nyingi sana na ina save sana kwa upande wa rangi, na ni rahisi kuzitoa (si mnajua wenye nyumba wengi hawataki kupaka rangi nyingine zaidi ya nyeupe na cream?) niko mbioni  nafanyia kazi hizi wall paper za watoto. Nitawajulisha.

3 comments:

 1. jamaani nimependa sana blog yako. Nimejifunza pia mambo mengi. Sasa ninawezaje kupata hizo wall paper na mimi niweke nyumbani kwangu? nisaidie please
  Mdau (Dar-es-Salaam)

  ReplyDelete
 2. Mimi hizo wall papers nazitaka sana na nina deadline ya kurekebisha bed room ya mtoto wangu yani by end of March kiwe kimebadilishwa na moja ya mapambo ya kuweka ni wall papers and curtains etc, so please please ukiwa nazo tayari nipe update..

  ReplyDelete
 3. i need the wall papers tooo, 0715537754

  ReplyDelete