Friday, November 20, 2009

Baby bed

Tshs. 180,000/=

5 comments:

  1. jamani ni kitanda peke yake?na mtoto ni mpaka wa kilo ngapi?

    ReplyDelete
  2. (hiyo jamani ni furaha ama ndio masikitiko? joke) hiyo ni kitanda peke yake kwa sababu wengine hiwa wana decorate peke yao. ni mtoto wa mpaka miezi 2 hivi. ila kama utataka tuongezee ukubwa wa kitanda inawezekana ila bei nayo itaongozeka pia. karibu.

    ReplyDelete