Tuesday, November 24, 2009

Design mpya ya makabati

Design ya makabati haya, ni nzuri na husaidia upangiliaji wa nguo kwa urahisi na sahihi, hata ukimpelekea fundi mbao atatengeneza bila wasiwasi wowote ule


1 comment: