Thursday, November 19, 2009

Tshs.380,000/=

5 comments:

 1. MAMBO VIPI. NAVUTIWA SANA VITU UNAVYOVIONESHA KWENYE BLOG YAKO. KAMA HIKO KITANDA HAPO JUU NTAKIPATAJE???

  ReplyDelete
 2. hi, kitanda hiki kukipata toa order kama uko dar karibu dukani, ama sema uko mahali gani tuje tuchukue hela, utapewa risiti, na order inachukua siku saba ya nane unapata kitanda chako.

  ReplyDelete
 3. dada hata mie nimekipenda hiko kitanda,jee kinauzwa na godoro lake au ni fremu tupu?

  ReplyDelete
 4. habari,

  vitanda vyote haviuzwi na godoro. ni fremu na chaga zake tuuu.

  siku njema

  ReplyDelete
 5. hiki kitanda kikiwa 6 kwa 6 kitakuwa bei gani?

  ReplyDelete