Monday, November 16, 2009

HABARI NZURI KWA WOTE

Ninapenda kuwashukuru kwa support kubwa mnayonipa na michango yenu ya mawazo, ushauri etc. Na mpaka sasa blogsite hii ina viewer , Marekani, Uingereza, India, Liberia, Italy, Kenya, Uganda and Tanzania it self etc.

Umefika muda muafaka kuwatangazia kuwa ninakaribisha matangazo kwenye blogsite yangu. Matangazo ya kibiashara aina yoyote ile.

Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

Karibuni nyote.

Sylvia - Director & Co-Founder of Kreative homez (Homez Deco & Garden)

No comments:

Post a Comment