Monday, November 16, 2009

Double Decker

Habari za weekend, kwa upande wangu ilikuwa nzuri namshukuru mungu kwani  nimeiona leo na tunaendelea ku blogika. Haya nilipokea emails za funs wangu wakiniomba niwaletee double decker beds, na kama mnavyonijua huwa niko fasta kuwaridhisha.  vitanda ndio hivi na bei ni reasonable, na vyote ni bila godoro. Enjoy!!!!

Hiki cha kwanza ni cha mbao ila tutakifanya cha chuma bei ni ths.500,000/=Hiki cha juu na cha chini yake tshs. 600,000/-
Hiki ni tshs.600,000/-
Hiki ni tshs, 480,000/=
Tshs, 600,000/-
Tsh. 650,000/-
Tshs, 700,000/-
Tshs, 650,000/=

2 comments:

  1. thanx my dear,nimepata nilichokitaka,vitanda vizuri saana,lakini mpenzi hiyo bei mbona ya wazito?!vizuri vina gharama lakini pls kama vipo chini ya laki6 nifahamishe,nimeona kimoja tu cha 480.pls do it for me

    ReplyDelete
  2. Hi, mimi products zangu ni bei nzuri ukilinganisha na wengine, na kama unavyojua uchumi uko juu na vitu pia vimepanda, sasa sintopenda kuweka vitu bei rahisi kuwaridhisha halafu hakidumu, maana cost pia ninaangalia.
    na kwa double decker sio bei sana niliyoweka angalia mbao kwa sasa inakwenda kiasi gani na utakaa nayo kwa muda gani kabla haijaanza kuliwa na wadudu.

    ReplyDelete