Monday, November 9, 2009

Cakes

Hi all, za weekend? Mimi namshukuru Mungu ni mzima wa afya, sasa leo nimeonelea niende kwenye kona ya cakes, jamani tuwe wabunifu kwa kweli. Hizi ni mojawapo ya ubunifu wa wenzetu. WAO WAWEZE WANA NINI NA SISI TUSHINDWE  TUNA NINI?

Haka ni kaugonjwa ka SHAMIM 8020 FASHIONS UPO HAPO SIS!!!

1 comment:

  1. WOW!! NIMEKUSOMA MPENDWAAA IMETULIIIAAA NIMEIPENDA HIZO DIVORCE CAKE...MIE NINAYO MOJA YA DIVORCE NIMETUMIWA...NAITAFUTIA SIKU NIKIWA FULL MOOD NDO NIIRUSHE MAANAAA...NI BALAAA

    ReplyDelete