Tuesday, November 24, 2009

Do it your self.

kwa wale wanaotarajia kuwa wazazi, hii ni njia mpya ya ku decorate vyumba vya watoto. ni rahisi sana!!!

4 comments:

 1. Hai madam sylvia,

  nimependa hii blog yako, kwa upande wangu napenda mapambo sana, natumaini hapa nimefika.

  ina maana hivi unavyo tuonyesha humu ndani unaviuza wewe au? mfano mtu kapenda kitu hadi uagize au?

  Mama Brian
  mwanza

  ReplyDelete
 2. Hi Mama Brian,

  Asante sana kwa kuwa mdau wangu. sasa vitu vyote vyenye bei vinapatikana dukani kwangu, ila kwa metal furniture ni mpaka utoe order ndio utengenezewe, bado sijaanza kuwa na stock ambazo ziko tayari.

  wasalimu huko Mwanza, nawapenda wooooteeee

  ReplyDelete
 3. huku wazima mamy,

  sawa hapo nimekupata vizuri, vp nikihitaji kuona vitu vyote kwa humu ndani naenda upande gani??? kuna baadhi nimeviona lakini co vyote.

  kuna na zile kabati za kuzunguka ambazo ni kwa ajili ya kuweka vinywaji tu, vinapatikana dukani au mpaka uandae?

  Karibu mwanza ule samaki

  Mama Brian
  mwanza

  ReplyDelete
 4. Asante, ukihitaji kuona vitu vyote angalia kwachini ya blog pameandikwa older post,

  bonyeza hapo na itakuletea post za nyuma, ama pia upande wako wa kulia kwa chini ya hizo blog zingine, utaona kuna miezi iliyopita ukibonyeza itakuletea mwezi huo wote vichwa vya post, bonyeza kila kimoja utaona.

  na kwa upande wa hayo makabati, bado sijaleta ila niko mbioni kwani hayo nataka niwe ninayaagiza nje na ni yale ya quality.

  Ntakuja kula samaki na ninavyozipenda basi,(msalimu Brian)

  ReplyDelete