Friday, November 27, 2009

Mobile kitchen cabinet

This is lovely kwa kweli, na hii ni kwa wale wenye space ndogo kwenye nyumba zao, ni cabinet za jikoni, ina save sana space. ninaifanyia kazi na nitawajulisha pindi zitakapokuwa zinapatikana Homez deco, 

6 comments:

 1. Hai madam sily,

  Natumaini wewe na familia wazima.
  yaani sina lakusema zaidi ya kuumia roho tu.
  nimefurahi sana kuona hizi cabinet za jikoni, kwanza nimezipenda, kwa sababu hazimalizi nafasi. kila kitu hapo hapo.

  hebu nielezee kama hiyo moja itagharimu kiasi gani?? na je unazo au unategemea kuziagiza?

  Natamani nichukue moja niweke jikoni kwangu sasa hivi.

  Mama Brian
  mwanza

  ReplyDelete
 2. NImependa ya chini mkono wa kushoto, (brown one) zote ni nzuri ila hiyo zaidi.

  Mama Brian
  mwanza

  ReplyDelete
 3. Mama B, mambo, namshukuru Mungu mi mzima, sina dukani kwangu hata mie vimenikuna sanaaaaa ndio maana nikasema kuwa ngoja ni share na nyie, si unajua kizuri kula na mwenzio?

  ndio ninavifanyia utafiti wa kuvitapa na je nikileta kodi itakuwaje? na je nitaviuza sh. ngapi nikileta,

  nitawajulisha wapendwa.

  ReplyDelete
 4. aiseee umenitamanisha kweli, sawa basi ukipata data zake kamili please let us know.

  've a nice w'end

  mama Brian.
  mwanza

  ReplyDelete
 5. karibu sana you will be the first one to know my dear.

  nice weekend toooo

  ReplyDelete
 6. Hi mdada...umekumbana navyo kwenye website gani?Plse let me nichakarike kupata bei...Hizi mobile kitchen.Nami pia zienikuna...Najaribu kutafuta...nikipata info ntawadokeza hapo.

  ReplyDelete