Saturday, November 7, 2009

Huduma mpya kutoka Homez Deco.


Ndugu wateja tuna huduma ya suprise ya kutuma maua ama zawadi ambayo waweza kutuletea dukani na tukaifunga kwa bei na fuu na hela ya usafiri na tukaipeleka  utakako ila ni kwa jiji la Dar - Es - Salaam.

Utatupigia simu na kutuambia unahitaji bukee  ya kiasi gani kwani tunaanzia ya tshs. 35,000/=  na kuendelea na hii ni pamoja na kadi ama zawadi na utupe details za huyo tunaempelekea.

Usafiri tunacharge kuanzia tshs. 5,000/- kwani inategemea unataka tukupelekee wapi.

Haijalishi unampelekea nani yaweza kua ni mpenzi wako, mama, baba, mume, mke, dada, kaka, rafiki, mdogo, etc wote hawa inafaa.

Suprise present ni kwa wakati wowote ule na muda wowote ule, na tunafunga zawadi pia za sherehe yoyote ile

Tujulishe siku moja kabla.

Kwa kutoa order tumia namba hii, 0713 - 920565 Sylvia

Karibuni Nyote na weekend njema.

No comments:

Post a Comment