Friday, November 27, 2009

Stationery holder

hivi vilivyoko mstari wa mbele vilivyo 4 ,ndio stationery holder vinapatikana dukani ni tshs.12,500/= na ni ceramic type. 
kuna tofauti na hivi tunavyouza dukani? ila hivi havipatikani ni hizo design za juu hapo .

2 comments:

  1. hellow dear,nimependa sana hii,kwa mimi nitafanya usanii wa kuweka maua humo na kupamba ktk vile vistuli vya pembeni mwa kitanda!navuta picha naona kama vitapendezaaa!!!
    gud job mamaa

    ReplyDelete
  2. karibu, utahitaji vingapi? kuna rangi ya gold, green, red, and brown.

    ReplyDelete