Monday, March 5, 2012

Usiku wa tarehe 03/03 nilimazia hiviiiiiii.... Nilifurahi kukutana na wadau wa blog yangu..... ni raha iliyoje kukubalika kaika jamii kwa kazi ninayoifanya....
 Alice (rafiki yangu) ni designer wa nguo, amesomea kabisa Nairobi...(hakuna kubahaisha hapa) kazi yake hii, na anashona mwenyewe.....ame design mwenyewee hii nguo yake, na kuishona mwenyewe.. nitawaletea contacts zake later...


Haya best nimejitahidi kupose hapo.... hahahah si unajua tena kazi zetu hakuna kuleta pose... Nguo yangu nime design mwenyewe, tena nashukuru kua Shamim amenifanya nianze kushona nguo... ndio nimeanza kupeleka kitambaa na design yangu fundi anishonee....(Naweza eeehhhee ku design... hahhahah) haya fani za watu hizi.....hua ninafanya nikiwa free ku design nguo zangu mwenyewe......

With friends, Vai, Alice and Me...( duh mie mdogo eehehhe)
Huyu ni mdogo wangu anaitwa Johnson..... Jamani eti tumefanana.... maana watu wanasema tumefanana, mie sioni, ama naleta mazoea?..... hahhahah Love you my Bro.....(na mie ni mkubwa eti,,, unamuona dogo alivyo mrefu hahhaha)


Interview with Nirvana......
Dada zangu, Shani & Mariam


Shamim & Me

Happy people....

Tunashukuru mambo yalikua poa, .........Na ninawashukuru wote walioni wish Happy Birthday..(haya Jaydan analia ngoja nimuwahi,,, duh kumbe muda umekwenda) hhhahaha love u all....

2 comments:

  1. UMEPENDEZA SANA ALAFU UNAJUA KUDESIGN NAONA PENDEZA SANA ILA NAONA MAKE UP KAMA VILE UMECHEMKA KIDOGO MY DEAR.

    ReplyDelete
  2. thanks my dear, usijali ntalifanyia kazi swala la make up. siunajua kujiremba ni fani za watu...... hahhahaha thanks...

    ReplyDelete