Thursday, March 1, 2012

3rd March.....(Ni birthday yangu)......

Ninamshukuru mungu kwa kila jambo, na yeye ni muweza wa yote, na anaendelea kunipigania mpaka sasa, nikifikiria ni wangapi walitamani kuiona siku hii na hawakuweza kuiona, ni wangapi wagonjwa wako hospitalini?

Mimi ninamshukuru muumba wangu, kwa kuniwezesha kua hapa, mpaka sasa na namuomba mungu aendelee kutupigania na mtoto wangu....

Nawashukuru pia wadau wangu mpaka sasa kwa kuweza kunikubali, na bila ninyi Jaydan wangu asingepata maziwa....... Mungu awabariki na kuwalinda katika kila jambo.

Kweli ninafuraha sana sana, maana ni birthday yangu ya kwanza kusherehekea na Jaydan wangu.... Ingawa usiku nitakua Pale Serena Hotel Kuungana na wanawake wenzangu na wasichana.

Nitapumzika siku hii ya kuzaliwa kwangu, maana ninakua na mchaka mchaka siku zote 7. Ila siku nitapumzika kusherehekea siku hii.......

Nawapenda woteeee.... na mungu awabariki na kuwalinda.

3 comments:

  1. Happy birthday my dear

    ReplyDelete
  2. happy birdhday mpenzi, Mungu azidi kukubariki katika yote

    ReplyDelete
  3. Happy birthday, Mungu akupe maisha marefu

    ReplyDelete