Tuesday, March 20, 2012

Vitanda vya chuma...(swali kutoka kwa mdau)

Habari!Kitanda hapo juu ni kizuri sana na kipo simple! Kwakweli unajitahidi Mungu Aendelee kukusimamia.Swali langu ni je,inapendeza kitanda cha chuma kukiweka masterbedroom au ni kwa chumba cha kawaida tu?Pili naomba utusaidie design za dining table za mbao na bei zake.Asante.

Naomba kujibu kama ifuatavyo:
Vitanda havichagui chumba, ukiweka chumba chochote kile kinakubali, sasa usiwe na wasi wasi kitapendeza hata ukiweka chumba chako cha master bedroom

No comments:

Post a Comment