Monday, March 5, 2012

Thanks wadau wangu wote........(what I did on my birthday date)...03/03.. hii ilikua mchana....

 Nilipita syria exbition pale diamond jubilee... na hapa nikimchagulia Jaydan wangu zawadi.........
 With a friend anaitwa Sylvia, hapa tukichagua decorations.... nakuangalia wenzetu huko wanafanyaje.....
 Huyu uncle alikua mcheshi sana, alituomba atupige picha, halafu nipige nae picha baada ya mahojiano nae. hahhahaha kwa kweli alitufurahisha sana, ninachoweza kusema interior decor ilituleta pamoja, maana alikua anatuchekesha sana......
 Nikiendelea kupata majibu ya maswali yangu, nilipita maduka mbali mbali, walikua na vitu vizuri, ila ndio inabidi usiwe na haraka........ Hongereni Syria Exbitions.....mlifanya vizuri na vitu vilikua vizuri.Haya ndio ulirudi, na nikaanza kujiandaa na event ya usiku aliyoandaa Shamim.....Hapa ilikua ni kucha natengeneza,, with my jump suit, na kibajaji... hii ndio wanaita color blocking sio... ama... maana jamani interior design & Landscaping inanikeep busy...... mpaka fashion zanipita..ahhahahhahahahha

No comments:

Post a Comment