Tuesday, March 20, 2012

Unalifikiriaje juu ya hili?

Nimekua nimekua nikitoa masomo ya kila mahali ya ndani na nje ya nyumba ama ofisi zetu... Ila sasa leo hebu tuzungumzie milango yetu....

Nikisema milango, ni mlango ulio nao wa nyumbani kwako. je mlango wako huo ulitumia vigezo gani mpaka ukafika hapo nyumbani kwako unapokaa?

Na je umetumia mbao, alluminium, ama aina gani ya mlango ambao unautumia?

Umekaa nao muda gani? (uimara wake, na uzuri wake)

Hebu tusaidiane katika hili.........

No comments:

Post a Comment