Wednesday, March 31, 2010

Mimi ninaamini sisi Watanzania hatuna choyo, kwenye upande wa kuelimishana

Jamani nadhani mnaikiria hili swala la kuandika application na cv ni la mzaha eti?

Niliomba msaada na tu sheee hizi aidia ya jinsi gani tuandike ila cha kushangaza nimepata moja tuuu. ina maana Tanzania ina mtu mmoja? au ndio yale mambo ya ku ignore na kuona kila mtu anajua?

Tuko ambao hatujui na tunataka kuelimishwa ,tunaomba mchango wako wa hali na mali. Ila silazimishi,

THIS IS A SERIOUS ISSUE AND IT'S NOT A JOKE

Rgds,

Sylvia

Design za net nilizoombwa, ila kuna rafiki yangu alininambia zinapatikana mr.price pale mlimani city



Baadhi ya majina ya maua


Monday, March 29, 2010

Huu ni mfano wa Application Letter kutoka kwa mdau wetu Lugano. (Tunashukuru sana Lugano na tunakaribisha mifano mingine ya barua za kuomba kazi )

Hellow Sylvia


See my opinion......

LETTER OF APPLICATION

When you see an advertisement that attracts your attention, check carefully to note whether applications should be hand-written. If it is not stated, you may type your letter. Keep your application letter short and concise, with your main particulars listed in curriculum vitae (sometimes called a resume). This avoids your letter becoming very long and bogged down with unnecessary information. A busy employer has little time for long, rambling correspondence. Avoid the temptation to include details in which the recipient is unlikely to be interested, no matter how important they may be to you. When you have written your letter, read it carefully and ask yourself these questions:

(a) Does it read like a good business letter?

(b) Will the opening paragraph interest the employer enough to prompt him/her to read the rest

(c) Does it suggest that you are truly interested in the post and the kind of work to be done?

(d) Is your letter neatly presented and logically structured?

If your answer to these questions is “Yes” then you may safely send your letter.



Points of guidance

· Remember the purpose of your application is not to get the job but to get an interview.

· Ensure your application looks attractive and neatly presented; make it stand out from the rest.

· Be brief; give all the relevant information in as few words as possible.

· Write sincerely, in a friendly tone, but without being familiar.

· Do not make exaggerated claims of sound boastful; simply show a proper appreciation of your abilities

· Do not imply that you are applying for the job because you are bored with you present one.

· If your main interest is the salary, do not state the figure you expect. Instead mention what you are earning now.

· Do not enclose originals of your testimonials, send copies with your application but take your original along the interview.



My example

Application for an advertised post



JANE CARSON (Miss)
P. O. Box 0101
DAR ES SLAAAM.

26 March, 2010

B
Personnel Manager,
Homes Deco Creative,
P. O. Box 1020.
DAR ES SALAAM

Dear sir/Madam C

RE: PERSONAL SECRETARY TO THE MARKETING MANAGER

I would like to apply for the post of Personal Secretary to the Marketing Manager in your Marketing Department as advertised today (26/03/2010) in The Guardian News Paper. D

I am presently working as Personal Secretary to the General Manager at a manufacturing company and have a wide range of responsibilities. These include attending and taking minutes of meetings and interviews, dealing with callers and correspondence in my employer’s absence, and supervising junior staff, as well as the usual secretarial duties. E

The kind of work in which your company is engaged particularly interests me, and I would welcome the opportunity it would afford to use my language abilities which are not utilized in my present post. F

A copy of my curriculum vitae is enclosed with copies of previous testimonials. G

I hope to hear from you soon and be given the opportunity to present myself at an interview. H


Yours faithfully -I



JANE CARSON (Miss)



Enclosure: J





A- The writer’s address is placed at the top right-hand corner of the letter


B- All other details begin at the left margin in full blocked style (it would be satisfactory to place the date at the right if preferred)

C- Salutation

D- Mention the post and where you saw the advertisement

E- Give an outline of your present post and briefly discuss your duties

F- An indication of why you are interested in the advertised post would be useful

C- Enclosure your CV and copies of testimonials if available

H- Suitable close

I- Complementary close

J- Don’t forget Enc


NB - Your CV should give full details of your personal background, education, qualification

She is in the house, ameingia alfajiri ya leo. Kwa mtakao muhitaji tuwasiliane kwa email ya sylvianamoyo@yahoo.com ama tel:0713 - 920565. Karibuni.

Mrs.Jossanne the Professional Landscaper

Sio lazima fanicha za chuma tuuu hata za mbao zapendeza. Na hii sio zile za matajiri hata sisi twaweza

Kitchen

Hapa pia waweza kuweka kochi kama linavyoonekana hapo, na kochi hili chini ni kabati linaloweza kutumiwa.

Color color color

Friday, March 26, 2010

Pasaka imekaribia tumejiandaaje? Nyumba zetu tumeziandaaje? na je tunaweza kukaribisha wageni bila aibu ama kuficha baadhi ya vitu.

Kama kawaida, mtakubaliana na mimi kuna baadhi yetu tunafanya general cleaning mpaka ikifika kipindi cha sikukuuu, haya sikukuu hiyo imekaribia umejipangaje?

Najua mavazi mmeshaandaaa, vyakula vya kupika tayari mshajua mtapikanini, na mtakwenda kutembea wapi, hiyo yote ratiba iko tayari, lakini je nyumbani kwako kukoje, usafi je?

Kuna vitu vya kuangalia vya kurekebisha, baadhi ni
  1. Rangi ya ukuta
  2. Makochi yanahitahi kubadilishwa kitambaa
  3. Mito ya makochi yanahitaji kubadilishwa kitambaa
  4. Carpet linahitaji kuoshwa
  5. Toa bui bui kwenye kuta
  6. Fanya general cleaning
  7. Jikoni kusisahaulike
  8. Chooni chooni chooni huko ndio kabisaaaaa
  9. Vyumbani usafi
  10. Nje ya nyumba jamani
  11. Mapazia kama sio kubadilisha basi yafuliwe
  12. Mwisho kabisa uani, yaani huku mara nyingi wengi wetu ndio tunajisahau, kuchafu kuchafu kuchafu
Kwa usaidizi usisite kunijulisha karibu sana.

Mnajua kama majani yadondokayo kwenye miti, magamba ya madafu ni mbolea kwenye mimea?

Ni mti mzuri sana, kama unavyoonekana unahitaji matunzo, ni hii ni kati ya mti moja, sasa basi hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta mbolea, majani yake yanapodondoka yakusanye chini ya mti huo kwani ni mbolea nzuri na haina gharama yoyote ile.

Mti ukiwa mkubwa unahitaji matunzo, na kwa kufanya hivyo huwa inastawi vizuri na kupendeza.

Baadhi ya mbolea ni maganda ya madafu sasa sijui kiswahili kizuri nikipi, majani ya miti yaliyodondoka, mbolea za wanyama etc.

Thursday, March 25, 2010

Inasikitisha sana sana, na nimeshindwa kuvumilia........


Jamani kwanza natanguliza shukrani zangu za dhati, na nawaomba msamahaa wadau wangu wote, kwa kuwa this week nimelega lega ku upload blog hii yangu.

Mimi ni muajiriwa kwenye N G O moja hivi jina kapuni as a secretary/admin. Sasa kuna nafasi za kazi zimetangazwa na watu wame apply, kwa njia ya email na P. O. Box.

Njia ya email wangine hawa ja attach hizo documents, wengine wametuma tu CV etc. kama mtu huwezi kutumia email sio lazima tumia postal address na kwa Dar kwa Dar inawahi kufika.

Nimekuwa nikifungua hizo barua zao, lol nyingi ni vichekesho kwa kweli, na utakuta mtu ana degree, masters etc.

Najua sio kazi yangu na pia sio lengo la hii blogsite kwa yote hayo ila nimeguswa sana sana, kwani Barua ni utambulisho tuu na haitakiwi kuwa na mambo meengi mpaka employer akachoka kusoma. CV ndio ya kukuelezea wewe na ndio unajiuza kwa huyo new employer.

Kulikuwa na blogsite mpya ya kueleza jinsi ya kuandika barua za kuomba kazi, cv etc. ila naona siku hizi haja update muda mrefu sijui ni vipi.

Nawaomba wadau wangu tuingie katika hii mada tusaidiane kwenye mada hii mtuonyeshe jinsi ya kuandika barua za kuomba kazi na cv.

Tusaidiane kwa hili jamani, mimi nitakuwa ni mtu wa mwisho kuonyesha jinsi barua na CV zinavyotakiwa kuandikwa just Format.

Monday, March 22, 2010

Welcome to My Guest book

Nilishaulizaga hili swali jamani, wanyama wetu wanalala wapi???


I like this!!!

Imekaaje hii?


Kwenye pita pita zangu nikakutana hiii design ya sofa.

Door Curtains


Sio kwamba kuweka pazia mlangoni ni old fashion, tatizo ni jinsi unavyoiweka, na design, nimeona wengi wetu tukiwa na mapazia milangoni. Ninachotaka kuwashauri ni kuwa angalia rangi za hilo pazia atleast ziendane na rangi za living room ama dinning room ama corridor.

Na pazia linalotakiwa kuwapo kwenye milango ni mapazia Mepesi, na hata kama ni mazito basi yasiwe ni mazito sanaaaa.

Na hakikisha ufungaji ama uning'ing'inizaji wake uwe ni kwa juu kama inavyoonekana hapa, na lisiwe linakera watu.

Friday, March 19, 2010

Hii nayo inashindikana?

Chukua vyungu vyako, bamboo tree zako japo kuanzia tatu na kuendelea, weka sitting room, kwa wale wenye corridor kubwa na ndefu pia zafaa. kwenye balcon, kwa kweli ni nzuri sana sana kama zinavyoonekana

Special Dedication to a bride to be Zuhura, your color of your wedding..........Tiffany blue

Mapazia



Wednesday, March 17, 2010

KUNA MTU AMEHACK EMAIL YANGU... (Shamim aka Zeze) Pole sana , Naona sasa wote tuwe makini wana blog wooteee.

KUNA TATIZO LIMEJITOKEZA NASHINDWA KUINGIA KWENYE EMAIL YANGU YA YAHOO YA SHAMYOMY@YAHOO.COM

NAHISI NIME HAKIWA SABABU INAONEKANA IKO ONLINE NA MTU AKISEMESHWA ANAJIBU....... ILA SIO MIMI

ANGALIZO:- NAOMBA YEYOTE ASIJE AKARUBUNIWA NA YEYOTE KUPITIA EMAIL HIYO YA SHAMYOMY@YAHOO.COM

KWA SASA TUWASILIANE KUPITIA SHAMYOMY@GMAIL.COM

FROM SHAMIM AKA ZEZE.

KWA HISANI YA SHAMIM, NA MANGE.

Simple way of mixing colors



Hii kama inavyoonekana kwenye hizi picha, uchanganyaji wa rangi ni mzuri na umetulia, sasa basi waweza kutumia sofa, ama mapazia yako yakawa ndio muongozo wako. Na kwa urahisi kwa upande wa mito waweza kutumia kitambaa cha mapazia ukashonea foronya za mito.

Na unaweza ukachagua sofa likawa plain, na mapazia ndio yakawa na urembo, ama ikawa kinyume chake.

Recycle things

Beds


Tuesday, March 16, 2010

Vifaa vya usafi

Hivi ni baadhi ya vifaa vya usafi, mimi sielewi utamkuta mtu anafanya usafi bila vifaa muhimu, huo sio usafi, na ndio mwanzo wa uvivu wa kugusa sehemu zote za usafi.

Kuwa na vifaa vifuatavyo na hivi ni general vifaa:
  1. Ndoo ya usafi na dekio na hii iwe ni kwa matumizi ya usafi tuuu, ama kuna wengine huwa wanatumia mop pia ni nzuri tuu inategemea na uwezo wako.
  2. Fagio
  3. Kizoleo
  4. Dasta ziwe mbili ya kufutia vumbi, iwe mbichi na ingine kavu kwa ajili ya kukausha na ziwe ni cotton.
  5. Brash, ama hoover kwa wale wenye carpets.
  6. Spray bottle na sabuni yake.
  7. Fagio la kutoa buibui. etc
Ukiwa na hivi vyote nakuhakikishia utakusa kila kona ya nyumba yako kwenye usafi. Na hakikisha vitu ambavyo huvitumii tupa ama gawa. ACHA KUJAZA MATIVU USIYOTUMIA NI MOJA YA UCHAFU HUOOOOOO!!!!

As u can see water used in our home

Sasa huu si uchafu jamani, usafi ni 5% tuuu, kwa nini tusipunguze kwenye kuoga, na kwenye ku flash vyooo?????

Mi inanikera sana jamani, na niko mbioni ninaandaa mkakati wa kuwafichua wachafu, nitawaletea mkakati huo ukiwa tayari, mkiupitisha nyie wadau wangu nitaanza, maana bila nyinyi mimi nisingekuwa hapa.

General cleaning...

Hivi umeshawahi kwenda nyumbani kwa mtu na ukapishana na panya, mende buibui ukutani ndio usiseme etc,
Ila ukimuona anayeishi hapo barabarani, alivyopendeza.
Huwezi amini, jamani inatia aibu sana sana,

Tuwasaidieje hawa watu wa design hii?

mimi kwa mawazo yangu, je, nianze kupiga picha nyumba hizo na kuzitoa kwenye blog labda ataona aibu na kujirekebisha? ama tufanyaje?

Maana mie binafsi sioni sababu ya mtu unajipendezesha wakati unapolala kunanuka, yaani wengine utadhani wanafuga panya, ama mende, mimi binafsi ninavyoogopa panya, ninaweza hata kuahama nyumba.

Kuna siku panya aliingia nyumbani kwangu, jamani ilikuwa ni saaa nne usiku ndio nimerudi home nikakuta kala vitu baadhi, sikuweza kukaa humo ndani, nilimuita my hubby all the way kutoka kinondoni kuja kumtoa. Thanks lord alitoka.

Sasa u can emagine wanaoishi na panya wakati dawa za wadudu zipo, lol aibu......

Tuwasaidiaje hawa? na sio kwamba hawa uwezo, naijiulizaga maswali sipati majibu, ama ni hulka ya uchafu, lakini mbona anapendezea barabarani si nako angekuwa ni mchafu????

Monday, March 15, 2010

Mtandao unamatatizo tokea Jumamosi

Samahani sana kwa matatizo hayo kwani iko nje ya uwezo wangu, ila kesho nitakuwa hewani,

Nawatakia siku njema,

From,
Sylvia