Friday, May 31, 2013

Kifuatacho wiki ijayo..............

 Hii ni kazi ya homez deco......

 baadhi ya mito ambayo tunatengeneza wenyewe.......nikiwa ninafanya set up ya kochi na kupangilia rangi

 Hapa nikikagua kazi kabla haijatoka kwenda kwa mteja na kuhakikisha kila kitu kiko sawa......
mito ikiwa katika hatua ya mwisho................


Endelea kua nasi wiki ijayo......................

2 comments:

  1. Can't understand this language but your all pictures really very nice. Thanks for sharing with us valuable post. Great job keep it up, you can also visit :- promaster.ca

    ReplyDelete
  2. habari yako dada hivyo set ya viti vya living room inauzwa sh ngapi?

    ReplyDelete